Hackers Waishambulia App/Website ya Mange, Wafuta Posts, Taarifa za Watumiaji Karibu Wote, Apagawa
"Hey so finally we figured out kwamba we have been hacked through our website.
Hacker akaamua kudelete data zooooote and unfortunately tulikuwa hatu keep backup. I have decided sitogombeza mtu, mimi na developers woooote tumejifunza kitu. Cha kwanza lazma tuwe na backup ya kila kitu. Kwanza nimeishiwa nguvu. Sina hata nguvu ya kumgombeza mtu.
Secondly tumejifunza pia kuwa tunahitaji security kwenye website. We live and we learn.
Anyways, tumesha-mbootout hacker but the damage is done. Watumiaji karibia woooote wamefutwa.
Hacker kaamua kunipa zawadi ya mwaka mpya. LOL.
Na hasira zooote ila alichonichekesha hacker ni kwamba kawapa watu wooote aliowabakisha verification 🤣🤣🤣🤣🤣🤣fanyeni kuswipe muone. Na pia hao aliowabakisha kawapa free membership za mpaka Dec 2023.😩😩
Tutarudi in a day or 2 na website na app zote zitakuwa free for 1 month. Itabidi wote mfungue account mpya maana hakuna account iliyobaki. 😭😭. Ila utatumia bure for 1 month.
Ahsante Mr. hacker umejua kutupa jambajamba leo.
Nachoshukuru ni kwamba sina data za credit card za watu au sensitive records za wetu la sivyo hii situation ingekuwa much worse.
Nahisi kabisa ni mmoja wa wale matajiri niliyokuwa nimewaposti wamelipia hacking maana kitu cha kwanza kabisa hacker alifanya ni kutufa posti zoooote. Hayo mengine kafanya baadae. Ila lengo lake la kwanza lilikuwa kufuta posti. Sasa nasema hivi posti nazirudiaaaaaaa " Mange Kimambi
No comments