Header Ads

Header ADS

Diamond Platnumz Msanii Bora wa Kiume Africa Mashariki Tuzo za Afrimma


Mwanamuziki @diamondplatnumz ameshinda tuzo ya msanii bora wa kiume Africa mashariki katika Sherehe za utoaji wa tuzo za African Muzik Magazine Awards AFRIMMA2021 zibaendelea huko Virtual event; multiple venues marekani .

Ikumbukwe kuwa #DiamondPlatnumz na BurnaBoy ndio wasanii walio ongoza kwa kuchaguliwa katika vipengele vingi kwenye tuzo hizo wakichaguliwa katika vipengele 6.




No comments

Powered by Blogger.