Header Ads

Header ADS

Paul Makonda Anatarajiwa Kufikishwa Mahakamani Kujibu Tuhuma za Matumizi Mabaya ya Madaraka


Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, ikiwemo kuvamia ofisi za Clouds Media Group Machi 17, 2017.Reposted from @swahilitimes Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, ikiwemo kuvamia ofisi za Clouds Media Group Machi 17, 2017. Maombi yamewasilishwa mahakamani na mwanasheria wa kujitegemea. HT: Raia Mwema

Maombi yamewasilishwa mahakamani na mwanasheria wa kujitegemea.

HT: Raia Mwema


No comments

Powered by Blogger.