Msanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree Amevishwa Pete ya Uchumba na Mpenzi wake, King Petrousse
"Wanaona Gere 😃😃" Hatimaye Rapa Rosaree 👑 Avishwa Pete Ya Uchumba ❤ na Mpenzi King Petrousse
RosaRee Ametuthibitishia Hilo Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Aki-Share Video Iliyomuonesha Akivishwa Pete Hiyo
Congratulations Rosaree & King Petrousse ❤❤
No comments