Kumekucha, Maua Sama Amefanya Ngoma na T Pain wa Marekani, Atangaza Kuiachia
Star Wa Muziki Nchini πΉπΏ @mauasama Adokeza Kolabo Yake Na Rapa Kutokea Nchini Marekani πΊπ² @tpain
#MauaSama Ametumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kuthibitisha Hilo Akionesha Chats Zake Pamoja na Rapa Huyo, Huku Kionjo Cha Ngoma Yake Mpya Ikisikika
"β¦ And Itβs happening soon π€π€π€ Kesho (FRIDAY) @ 08:30AM muda wetu ni ule uleee! πΊ x π x π"
Hivyo Huenda Kesho Nyota Huyu Akaachia Ngoma Hiyo Aliomshirikisha #Tpain
No comments