AFRIMA AWARDS: Diamond, Ray Vanny, Rosa Ree waongoza kwa nomination, Kiba, Harmonize, Nandy nao wamo Majina ya wasanii watakaowania tuzo za All Africa Music Awards, Afrima 2021 yametoka. Hongera kwa wasanii wote waliotajwa kuwania Tazama Hapa:
No comments