Header Ads

Header ADS

ZAIDI YA WATU 1000 WAMEOMBA KUPATIWA CHANJO DODOMA

 


Mkuu wa mkoa wa Dodoma Antony Mtaka amesema mpaka sasa zaidi watu 1000 wamemuomba kuwekwa kwenye orodha ya kupata chanjo ya Covid-19

Mhe.Mtaka ameyasema hayo leo julai 31/2021 wakati alipokuwa katika mkutano mkuu wa kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Central Tanganyika jijini Dodoma

Aidha mhe mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuondokana na siasa za chanjo na mijadala inayoendelea katika mitandao ya kijamii

"kwenye suala la chanjo tuondokane na siasa ya chanjo maana naita kama siasa ya chanjo huko nyuma zimekuwepo"amesema Mhe Antony Mtaka



No comments

Powered by Blogger.