Header Ads

Header ADS

Tanzia : Meya Shinyanga Afariki Dunia




Mstahiki Meya wa Manispaa 1ya Shinyanga David Mathew Nkulila ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi David Nkulila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Agosti 23,2021 wakati akiendelea kupatiwa matibabu kutokana na kuugua kwa muda mrefu.

Msiba upo nyumbani kwake mtaa wa Mabambasi kata ya Ndembezi jirani na Kanisa la Moravian

R.I.P Nkulila

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako


No comments

Powered by Blogger.