Header Ads

Header ADS

TANESCO: ILI UPATE UMEME KWA MWEZI AGOSTI, NUNUA WA ZAIDI YA TSH. 2,000



Shirika Umeme Nchini (#TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu

Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa Kodi ya Majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000)

Shirika hilo limefafanua “Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakini kodi ni kwa ajili ya mwaka huu wa bajeti ambao umeanza mwezi Julai 2021”




No comments

Powered by Blogger.