Header Ads

Header ADS

Steve Nyerere Atoa Mpya...Amuibia Siri Mama Samia Kuhusu Watu Waliokwenye Chama Lakini Wanakihujuku..Soma Hapa


 TUTOE MAGUGU @STEVENYERERE2

MH MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI, CCM, NAKUIBIA SILI, KUNA MTU ANAPITA UKO KWENYE VYUO NA ANAPAMBANA KUPITA KILA CHUO KUWAJAZA UWONGO VIJANA NA KUJIVIKA UKUBWA USIO WAKE, AHADI NYINGI KWA VIJANA WA VYUO, MH MWENYEKITI, LAKINI KIKUBWA MAANDIKO HATARISHI, ZAIDI KABISA KUNA UWONGO MKUBWA WANAOPEWA WANA CCM WENZETU WANAOISHI MAJUU YANI DIASPORA, NA HUKO KUNA FUKUTO KUBWA SANA NA MGAWANYIKO UNAOLETWA NA WANA HARAKATI WAONGO NA WACHONGANISHI, MH MWENYEKITI ,NADHANI UMESHA GUNDUA KUWA WAPO WATU TUNAWAKUMBATIA LAKINI SI WATU WEMA KWENYE CHAMA CHETU, MH MWENYEKITI UNATUONGOZA KUPAMBANA NA UCHUMI WETU NA KUIJENGA TANZANIA ,LAKINI WAPO WANACHAMA WETU WANAPAMBANA KUTUGAWANYISHA NA KUWA TOFAUTI NA MAELEKEZO YA MWENYEKITI, MH MWENYEKITI NI BORA TUBAKI WANACHAMA WATIIFU KULIKO KUWA NA WAPENDA MADARAKA NA WAROHO NA UCHU WASIOHESHIMU MAMLAKA WAKIAMINI WAO NI ZAIDI KULIKO MWENYEKITI, MH MWENYEKITI TUTOE MAGUGU NAOMBA SANA MAANA TUNASHINDWA KUJENGA KWAKUWA MAGUGU NI MENGI SANA MH MWENYEKITI WALE WANAO ONA WANAWEZA KUTENGENEZA CHAMA NDANI YA CHAMA NI SHIDA, AU WANAO AMINI WANAWEZA KWENDA KUTENGENEZA CHAO NDIO MUDA WA KUWAPA MKONO WA KWAHERI, MH MWENYEKITI YANGU NI HAYO TU @samia_suluhu_hassan


No comments

Powered by Blogger.