Rapper Wakazi apata chanjo ya kujikinga na Uviko 19
Ni Rapper na mwanasiasa kutoka ACT- Wazlendo, Webiro Wassira a.ka. Wakazi ambae Agosti 2, 2021 ameujulisha umma kwa ujumla kwamba amejipatia chanjo ya kujikinga na Covid 19 (Uviko 19).
Staa huyo taarifa hiyo aliitoa kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika haya>>“Epuka mikusanyiko isiyo ya lazima. Nawa Mikono na maji tiririka (running water), tumia Sanitizer, Vaa Barakoa (Mask). Ukiweza Choma Chanjo, ili ikulinde zaidi Incase unakuwa exposed na Corona Virus”– Wakazi
“Hakuna kitu cha THAMANI kama AFYA (Uhai). Ilinde Afya yako kwa gharama zote”- Wakazi
No comments