Header Ads

Header ADS

NDOA YETU ILIKUMBWA NA MIGOGORO, MKE WANGU ALING’ATA UUME WANGU


Tuliishi kwa upendo baina yangu na mke wangu. Tuliaminiana kwenye ndoa na kila mmoja wetu  alipotaka kufanya jambo kwa mfano kufungua biashara mpya tungejadialiana kwa pamoja bila  ya mavutano yoyote wakati wowote. Hali ilikua shwari kabisa katika ndoa yetu kwani hakuna  lolote lililotukwaza kama wapenzi. Mambo yalianza tu kubadilika wakati ambapo mke wangu  alipata tenda ya kusambaza vyakula katika ofisi za kauti tuliyokua tukiishi naye kwa wakati ule. Nilianza kutilia shaka uhusiano wetu naye kwa sababu alianza kupokea simu nyingi zaidi hata  wakati wa usiku. Mara nyingi alijificha ila kuzunngumza na waliompigia simu. Sikufurahishwa  kabisa na tabia ile kwani nilijiambia moyoni alikua na mipango ya kando aliyoipata kazini pake. 

Sikusita kumuliza mbona alikua amebadilika kwa namna ile kwa sababu tabia ile  haikunifurahisha kama mume wake halali kulingana na vyeti vya ndoa tulivyopokezwa kanisani  kwenye harusi ya kupigiwa mfano. Nilitaka afanye mambo hadharani kama yalikua ni halali  lakini tabia ya kujifugia chooni anapopigiwa simu ama kutoka nje ya nyumba kila mara simu  inapokiriza iliendelea kwa muda. Sikuwa na budi kama kiongozi wa nyumba kuwa na msimamo  dhabiti na kukomesha tabia ile kwani nliligundua fika ingeniharibia ndoa yangu ambayo ilikua  ingali change, kwani tulikua tu tumeaona kwa muda wa miezi minane. Watoto pia hatukuwa  tumefanikiwa kupata. Muda ulivyosonga tabia za mke wangu pia zilikua zimeanza kuoza ajabu. Alianza kuja nyumbani usiku wa manane na nilipomuliza alipokuwa ilikuwa na vurugumechi na  nyumba yetu ilikuwa ni kutupiana makonde na aliye na nguvu ndiye aliyeibuka kulala nyumbani. 

Hali ilikuwa mbaya zaidi kwani nilipata nimemjeruhi vibaya pia naye hakuachwa nyuma kwani  alama alizonipa zilinitia kiwewe, kwani ilikua vigumu hata kuabiri gari kuelekea kazini kwani  ungedhani nilikua nimepata ajali ya kugongwa na gari moshi. Majirani walibaki kuona sinema ya  bure kwani wengi wao walifurahia mke wangu akinipiga makonde na kila mara aliponilemea  walishangulia kwa furaha. Nilipoonekana nimemzidia walikimbia kunishika ili nipigwe kitutu  vizuri. Ama kwa hakika ilikuwa ndoa iliyokua si ya kutamaniwa na mtu yeyote ambaye alikua na  mipango ya kuoa karibuni. Tulijaribu kuzungumza na wazazi ile tupate suluhisho la migogoro  yetu ya kila mara lakini yote yaliambulia patatupu kwani hamna lolote ambalo tulizingatia. Tabia  ya mke wangu ilinichosha hapo nikajitosa kwa kileo. Kila nilipo toka kazini nilipitia kwa mama 

pima ili nibugie pombe ili inipe ujasiri wa kumkabili mke wangu kwani yeye pia alikua ni kisiki  kisischo tikisika kwa hali yoyote ile. Siku moja nilikua nimelewa chakari. Nililipoingia  chumbani nilipata mke wangu ametulia hali ambayo haikua ni kawaida yake. Jambo linilo nijia  akilini nilidhani kuwa alikua na maumivu kwani haikuwa kawaida yake kutulia jinsi ile. Aliandaa chajio tukala. Nilitangulia kwenda kulala chumbani kwani nilikuwa nimepiga maji  ajabu. 

Alionekana kabadilika kwani hakuwa na mengi ya kuongea. Usiku mwendo kama sa nane hivi  niligutushwa usingizini ni unyevunyevu ambapo uliandamana na uchungu Fulani katika uume  wangu. Alikuwa amening’ata na damu ilikuwa imelowa kitandani. Nililia kwa uchungu kwa  sababu pombe ilikua imenitoka akilini. Majirani waliwasili kunisaidia ambapo nilikua nimevuja  damu nyingi. Hospitalini nilifanyiwa upasuaji ambapo madaktari walisema singeweza tena  kufanya tena tendo la ndoa. Jambo hilo lilinidhofisha sana kimawazo kwani nilikuwa bado  barobaro na kwenye harakati za kutafuta mtoto. Katika vituo vyote vya afya nilivoenda  waliniarifu vile tu kua kufanya tendo la ndoa ingekua ni vigumu. Nilipatana na Sam ambaye  alikua ni rafiki wangu wa kale pale chuoni. Nilimwelezea masaibu yangu akanielezea kua alikua  na suluhisho na ilikua twende kwa madaktari wa Kiwanga kwani walikua na uwezo wa  kunisaidia kwa hali yoyote ile. 

Siku iliyofuatia tulienda kwa madaktari wa kiwanga ambapo nilihudumiwa. Baada ya kurjea  nyumbani mke wangu alikua kesharudi jambo ambalo pia lilinishagaza. Usiku ule tulikula uroda  naye kwani ilikua ni muda mrefu tangu kisa kilipotokea. Ama kwa hakika madaktari wa kiwanga  walikua wamesaidia kuvunjika kwa ndoa yetu. Mke wangu alienda hospitalini na alipopimwa  alipatikana ni mja mzito wa wiki tatu. Yeyote aliye na matatizo ya ndoa na anahitaji suluhisho la  haraka anapaswa kutembelea madaktari wa Kiwanga kwani uwezo wao si wa kubahatisha  kamwe. Wanatibu kifua kikuu, ukosefu wa nguvu za kiume na mengineyo kwa siku tatu tu. 

Unaweza mpata Dr.kiwanga kwa namba +254 769404965 

au tembelea website  yao www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.




No comments

Powered by Blogger.