Mwendelezo wa Bata kwa Mrembo Uwoya
Baada ya kula bata ughaibuni Dubenga {DUBAI} Mrembo wa bongo movie Irene Uwoya ametua visiwani Pemba kwa ajili ya kile anachodai yeye kutumbua jasho lake {BATA}.
msafara wake umewashtua wana Pemba na kuwaacha midomo wazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni msafara wa kukata na shoka .
mwanadada huyu amezua taharuki tangu aonekane kwenye mitandao ya kijamii akiponda mali uku watoto wa mjini wakiita [BATA} amefanya kufuru ya pesa na yeye akidai kwamba ni moja ya kinachompa furaha katika maisha yake na familia yake kwa ujumla.
No comments