Mwanamuziki wa Nigeria Zlatan Akoshwa na Vocals za Alikiba
Inaonekana Muziki wa Bongo Flava unafwatiliwa sana nje ya Tanzania kuliko tunavyofikiri,na ikiwa wasanii wetu wataamua kutengeneza muziki wao na si muziki wa wenzetu basi tutafika sehemu kubwa zaidi ya hapa. Si kibaya kwa msanii toka Bongo akaimba muziki toka sehemu nyingine ila inapozidi ndio ubaya unapoanza.
Hasa msanii tokea nchini Nigeria na bingwa wa kubuni style mbalimbali za kucheza barani Afrika @zlatan_ibile amekili kuufwatilia muziki tokea Tanzania na kudai kukoshwa na baadhi ya wanamuziki na melodies zao huku akitaja kuvutiwa zaidi na Alalikiba
No comments