Header Ads

Header ADS

Mwanamuziki BEKA na IRENE Uwoya Wapenzi?

 


Ni Headlines za @bekaflavour1 ambaye kwa sasa ana hit na Wimbo wake mpyaa *IN LOVE, Ni Hivi Kumekua na Sinto Fahamu Fulani katika ya BEKA NA IRENE UWOYA, katika Kurasa zao za Insta wameanza kucommentiana kimahaba Mahaba zaidi na makopa... Mashabiki wadai huenda wawili hawa ni wapenzi kisiri siri

Juhudi za Kumtafuta @bekaflavour1 na Irene Uwoya zinafanyika ili tuweze kupata ukweli Kuhusu Mahusiano yao kama kweli au sio Kweli





No comments

Powered by Blogger.