Nilikua napenda dimpoz😂😂msema kweli mpenzi wa Mungu😂staki maswali, Hii ilikua surgery ya pili katika nne nilizofanya tiari , Ntawaletea ya tatu nimefanya nini . Saiv tukikutana ninatabasamu ata mkiniuzi ili muone dimpoz😂😂ya uso sasa ndo mtafurahi😂. God is Good to me. I love you Jesus🙏❤.
No comments