Header Ads

Header ADS

Msami Afunguka Irene Uwoya Kumsaidia Laki 5 Wakati Wameshaachana Kimepenzi



Wewe unaweza kumsaidia ex wako kama alivyofanya Irene Uwoya?

Msami amesema Irene Uwoya alimsaidia baada ya kupata ajali ya gari na kumalizana na ishu za polisi.

"Mimi na yeye ni washkaji tu, nakumbuka kuna siku nilipata ajali ya gari usiku, asubuhi nikawa polisi hivyo nikawa sipo vizuri mfukoni kwa haraka haraka nikampigia simu Irene Uwoya akanitumia laki 5"- (@msamibaby)
Msami ameongeza kusema wakati anapata msaada huo kutoka kwa Irene Uwoya tayari walikuwa washaachana na hawakuwa tena kwenye mahusiano.


No comments

Powered by Blogger.