Header Ads

Header ADS

Manara "Naomba Serikali Inilinde Nani Amempa MO Mamlaka ya Kudukua Simu yangu"


“Kwenye hili la kudukuliwa simu yangu naomba serikali inilinde, ni nani amempa mamlaka Mohammed Dewji ya kudukua simu yangu, ubaya sio mimi tuu niliyedukuliwa niliona majina ya wanasimba wengi wanaodukuliwa.

“Waliniita ofisini nikaenda wakaniambia jana ulionekana umeenda kigamboni Kwa Ghalibu kutuhujumu, walinionyesha simu inayoonyesha kuwa nilikuwa Kigamboni lakini nilipoangalia tarehe ilinionyesha ilikuwa tarehe 7 muone jinsi hawa watu walivyokuwa wananichukia,” @hajismanara



No comments

Powered by Blogger.