Header Ads

Header ADS

Kim Kardashian apost akisikiliza wimba wa Wizkid aliomshirikisha Justin Bieber




Kupitia insta stori ya mwanadada na bebi mama wa Kamye West @kimkardashian amepost baadhi ya ngoma alizosikiliza na kuzikubali mmojawapo ikiwa ni #Essence ya mkali @wizkidayo kutoka Nigeria.

@kimkardashian amepost #Remix ya #Essence ambayo amemshirikisha @justinbieber pamoja na @temsbaby Unahisi International Collabo inayakiwa kuwa na vigezo gani😇Dondosha comment yako hapo chini.



No comments

Powered by Blogger.