Header Ads

Header ADS

"Kigodoro Cha Nini Sasa Shepu yangu namba 9 inanitosha" - Love Juakali

 


Unaambiwa mwanamke kujiamini ndiyo ishakuwa 'Freestyle' msanii wa filamu Love Juakali licha ya baadhi ya watu kum-judge mitandaoni kuhusu mwili wake anasema shepu yake namba 9 inamtosha na haoni haja ya kupungua.

"Kigodoro cha nini shepu yangu namba 9 inanitosha ukiniambia nianze kuvaa kigodoro inaua brand na brand yangu inataka kuwa hivi haijataka nianze kuchonga sura au niwe mwembamba"

Read More: 6 New Jobs From Startimes

Pia ameongeza kusema "Mimi naamini kuwa natural, ujiamini na kuwa wewe, Watanzania wameumbiwa kuongea hawaridhikagi hata ukiwa na figure".



No comments

Powered by Blogger.