"Tumepandikizwa kwamba kujenga nyumba ni kitu cha kwanza kwenye mafanikio ya kijana. Kijana akipata Mil300 saivi akikutana na mtu cha kwanza atamuuliza kwanini usinunue kiwanja ujenge, akishajenga what next? Kijana ukipata hela izungushe ikuletee faida" - JUMA JUX
No comments