Header Ads

Header ADS

Hatimaye Rosa Ree Awakutanisha WASHINDANI Wake Frida Amani na Chemical Kwenda Collabo Moja..Rosa Aandika Haya

Hatimaye Rosa Ree Awakutanisha WASHINDANI Wake Frida Amani na Chemical Kwenda Collabo Moja..Rosa Aandika Haya

"Guyyyysss hii ilikua moja kati ya studio sessions bora ambayo nimewahi kufanya na wasanii wenzangu. Energy ilikua nzuri sana! Muda wote tulikua tunacheka na tunafanya kazi kwa furaha. @chemical_tz @fridaamaniofficial thanks for coming through. Tumeuaaaa! Watu walitaka sana kuona ngoma yetu pamoja na we delivered!!!! Alsooooo, walikua wageni wangu wa kwanzaaa kwenye studio yangu 😆Much love n Respect ✊🏾❤️‍🔥
YOUUUUUU READDDDYYYYY???😈 

No comments

Powered by Blogger.