Header Ads

Header ADS

Fahyma amuonya Ibraah wa Konde Gang, acha kupost picha yangu tutafika pabaya sitaki mazoea



Kupitia Instagram yake Fahyma ambaye ni mama mtoto wa Rayvanny ameandika kuwa:-

NAOMBA IFIKE MUDA MUWE NA HESHIMA NA JINA LA MTU UNAE TUMIA PICHA YANGU NA JINA LANGU KWA MANUFAA YAKO SHERIA ITAFATA MKONDO WAKE NIPO KIMYA SITAKI MAZOEA YAKIJINGA.. kwakuongezea Naomba jina langu au picha zangu zisitumike kwenye mambo ya drama I’m not a drama queen.. so plz naomba nisihusishwe na ujinga waina yeyote ule tafadhali🙏

Naomba nieleweka Sina Mahusiano na mtu waina Yeyote yule hasa wewe unaetumia picha zangu Nadhani nimeeleweka ikiendelea hii tuta pelekana Pabaya. Maana nimekaa kimya siokwamba sioni naona ila nimeongea Kukanusha mambo yaki jinga.. Mimi ni mtu na kheshima zangu.. ivyo nisi tumike kijinga tafadhali.



No comments

Powered by Blogger.