Breaking News: Mashabiki wa Simba Pamoja na waandishi wa habari wanusurika kifo baada ya kupata ajari mbaya Zanzibar
Mashabiki,Wapenzi na Wanachama wa Simba SC Zanzibar, wanaosherekea ubingwa wapata ajali eneo la Chuini wakati wakielekea Nungwi kushereka Ubingwa na Mafanikio ya Klabu yao.
Miongoni mwa waliopata ajali hiyo ji pamoja na Waandishi wa habari akiwemo Mpiga picha wa ZCTV Mohamed Suleiman ZUNGU, Mwaandishi wa Muungwana Blog Thabit Madai na Mwaandishi wa Michezo wa Island Tv Ismail Ibrahim
Majeruhi wa Ajali hiyo wapo hospitali ya KMKM kibweni wakiendelea na matibabu na hali zao zinaridhisha.
No comments