Header Ads

Header ADS

Baba Levo "Msanii Kusainiwa Na DiamondPlatnumz Au Alikiba Ni Bahati Ya Mtende


Msanii wa Bongofleva Ndani Ya Kipindi Cha WasafiFM BabaLevo Amefunguka Na Kusema Kusainiwa Na DiamondPlatnumz Au Alikiba Ni Bahati Ya Mtende, Wasanii Wengine wamekalia kusema wao wakubwa huku mambo hayaendi kumbe wakongwe 

Hiyo Yote akimaanisha nguvu yao Kutokana Na Wimbi Kubwa La Ushindani Katika Muziki Wa Bongofleva Pande Hizo Mbili. "Team Alikiba, Team DiamondPlatnumz "



No comments

Powered by Blogger.