Darzeni za waandamanaji wamejitokeza mjini Nairobi kupinga amri ya serikali ya kutotoka nje na kutaka masharti yote mengine yaliowekwa kudhibiti COVID-19 yaondolewe.
No comments