Header Ads

Header ADS

Vanessa Mdee "Kukosa Ada ilinifanya Niache Chuo Kenya"


Vanessa mdee amewahi kutusanua Hali iliyopelekea kuacha kusoma Chuo Nchini Kenya, Vanessa alidai kukosa Fedha ya Ada ilimfanya aachane na masomo katika chuo hicho .

Vanessa alitembelea chuo hicho pale tu alipopata shavu lakuwa Judge Katika mashindano ya kusaka vipaji ya East Africa Got Talent yaliyokuwa yakifanyika nchini Kenya .



No comments

Powered by Blogger.