Header Ads

Header ADS

Vanessa MDEE Ajifungua Mtoto..Mwenyewe Afunguka Haya....



Baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii wa Bongo Fleva @vanessamdee amepata mtoto kutokana na kuwa na ujauzito Kupitia ukurasa wake wa Instagram @vanessamdee amekanusha na kusema muache kupanikisha watu kuwa amejifungua na kuwauliza kuwa aliyewaambia kuwa yeye amejifungua ni nani..?



No comments

Powered by Blogger.