Wimbo wa Alikia Jealous una watazamaji Milion 2.2 ndani ya siku mmoja, huku wimbo wa DiamomdPlatnum Iyo unawatazamaji Milion 2.1 ndani ya siku mbili. Msanii yupi hapo kamkimbiza mwenzie?
No comments