Header Ads

Header ADS

Rayvanny, Paula Mahaba live Bila Chenga...Sasa Rasmi Kajala ni Mama Mkwe



MAMBO yamekwiva… hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa Bongo Fleva, Rayvanny na mpenzi wake ambaye ni mtoto wa staa wa Bongo Movie, Kajala Masanja aitwaye Paula wameonekana kwenye mahaba na bashasha la aina yake wakati wa hafla ya kusherehekea kumbukumbuku ya siku ya kuzaliwa kwa Paula.




No comments

Powered by Blogger.