Header Ads

Header ADS

Polisi Afrika Kusini wasubiri amri ya mahakama kumkamata Zuma




Polisi nchini Afrika Kusini wamekuwa wanasubiri amri ya mahakama Jumatatu iwapo wamkamate Rais wa zamani Jacob Zuma aliyepewa kifungo cha miaka 15 jela kwa kukaidi amri ya mahakama.


No comments

Powered by Blogger.