Header Ads

Header ADS

Mrembo Ahukumiwa Jela Siku 14 Kwa Kupost Picha Hii Facebook


Mahakama moja nchini India šŸ‡®šŸ‡³ imeamrisha mwanaharakati wa kihindi bi Rehana Fathima kukaa rumande siku 14 kwa kuchapisha picha hii ☝šŸækwenye mtandao wa Facebook.

Polisi wanasema picha hii ni ya ”utupu”.
Amewekwa rumande kwa siku 14 kuruhusu polisi wakamilishe uchunguzi.

 Je picha hii ya utupu?




No comments

Powered by Blogger.