Header Ads

Header ADS

Mo Dewji "FCC WAMEBARIKI Mchakato wa Mabadiliko Simba Natoa Billion 20 leo"


Mo Dewji amesema Tume ya Ushindani (FCC) tayari imebariki mchakato wa mabadiliko ndani ya timu ya Simba

Dewji amesema sasa wanakwenda kukamilisha mchakato huo kwa mafanikio, baada ya kukamilisha taratibu walizoelekezwa ikiwa ni pamoja na yeye kuweka ‘mzigo’ (Bilioni 20).

Dewji amesema leo anatoa Bílí 20 kwa ajili ya mchakato ile


No comments

Powered by Blogger.