Header Ads

Header ADS

Meneja Wa Msanii Davido Afariki Dunia



Wakuu, Manager wa Mwanamuziki DAVIDO aliyejulikana kama OBAMA na maarufu sana kwenye viunga vya Lagos nchini Nigeria amefariki ghafla baada ya moyo kusimama kushindwa kupumua..

Apumzike kwa Amani Mjuba OBAMA



No comments

Powered by Blogger.