Header Ads

Header ADS

Maskini.. Papa Francis Aondolewa Nusu ya Utumbo wake


Papa Francis aliondolewa nusu ya utumbo wake hapo Julai nne ukiwa ni upasuaji wake mkubwa wa kwanza tangu ashike madaraka ya kuwa Papa mwaka 2013



No comments

Powered by Blogger.