Mange Kimambi Amkingia Kifua Mama Samia "Mama usiwe na wasiwasi hivyo vijichokochoko vimeanzia Twitter na vitaishia huko huko Twitter"
Reposted from @mangekimambi_ Mama usiwe na wasiwasi hivyo vijichokochoko vimeanzia Twitter na vitaishia huko huko Twitter.
Mimi wapinzani nawaelewa why wanafanya wanayoyafanya. Hiyo ndo ajira yao. Bila kufanya hivyo watakula wapi?
Seriously, I’m all for freedom of speech na freedom ya kuandamana and so forth ila hata marekani Rais huwa anatoa vitisho kuwa kama tutaandamana kwa shari jela zitatuhusu, tena kipindi kile tunaandamana kuhusu George Floydd kulikuwa na curfew ikifika saa 12 jioni kila mtu awe ndani, atakaekutwa nje anabebwa na polisi. So sioni baya alilosema Mama Samia maana wengine wanatishia sijui kuwasha moto.
As long as wakiandamana kwa amani poa.
Ila pia nimeelewa shida ya wapinzani na wanaharakati wa Twitter haikuwa Magufuli shida yao ni CCM as a whole. Mimi swali langu ni moja tu what makes them better than CCM? Kama Kuna nilichojifunza kipindi cha Magufuli ni kwamba Chadema na CCM wote walimu enable Magufuli. Kina Halima Mdee wanafanya nini bungeni sasa hivi? Walitokea chama gani si Chadema? Sasa what makes Chadema any better than CCM?
I swear to God, siwaelewi kabisa wapinzani. Yani kila kitu huyu mama alichofanya bado hawamtakii, aiseee hata awabebe mgongoni bado wataendelea. Hata hiyo katiba mpya ije, watatafuta jambo jingine. Ila ndo ajira yao they have to. Hata hapa marekani hata Biden akijikwaa upinzani upinzani wanafanya bonge l issue. Ndo wanasiasa walivyo.
Mimi nilichojifunza ni ku-vote for a person not for a party. I wish Tz tufike sehemu kama Kenya ambapo chama chochote kinaweza kushika madaraka ila wapinzani haya mambo ya kutaka vurugu all the time yatawa cost na yatafanya tuchelewe kufika huko.
Mimi nasema hivi, tusimame na Rais wetu, kaonesha nia ya kuleta demokrasia na uhuru toka day one. Hatoweza kuweka mambo yote sawa in 3 months but atleast she is trying. Katoa watu jela. Kaachia habari, mengine bado ila ndo anapoelekea.
Kwa taarifa yenu, sitaki teuzi yoyote na wala sina mpango wa kurudi kuishi Tz. Ningekuwa mtu wa kusifia rais ili nipewe teuzi ningemsifiaga yule Msukuma aliekuwa anapenda kusifiwa. Naongea what I know is right. Kungekuwa na uonevu wowote ule unaofanywa na huyu mama ningemsema wazi
No comments