Header Ads

Header ADS

Kumekucha Watu Wangu...Burna Boy Amjibu Diamond Platnumz Kwa Kununua Rolls Royce

 


Msanii Mkalii kutoka Nigeria... Burna Boy Aonesha Gari yake ya Kifahari Aina ya Rolls Royce...Hii inasemekana kuwa amemjibu  Mondi kwa jinsi alivyojioneshea mpaka ikawa gumzo sana...Magari haya kwa sasa wanamiliki Davido... Diamond Platnumz na Mengine wachache.



No comments

Powered by Blogger.