Header Ads

Header ADS

Harmonize atangaza ujio wa ziara yake ya kimuziki nchini Marekani



Tembo 'Konde Boy' Harmonize ametangaza ujio wa ziara yake ya kimuziki nchini Marekani.
Hitmaker huyo wa 'Sanadakalawe' ametaja ziara hiyo kuanza Agosti 28 huko Ohio na itafanyika ndani ya miji 15 nchini Marekani kwa kipindi cha miezi miwili.

 Harmonize ambaye anatarajiwa kuachia albamu yake mpya iitwayo "High School" hivi karibuni, ziara hii inakuwa ziara kubwa na ya kwanza kwa boss huyo wa @kondegang kuifanya nje ya nchi mwaka huu.




No comments

Powered by Blogger.