Header Ads

Header ADS

Haji Manara Afunguka Tena "Ngoja Mechi Ipite Nitaongea Tuona Kama mtu Atajitokeza Kujibu"


Reposted from @hajismanara Wenye akili wananiambia niendelee kunyamaza ila wao kutwa kuchukua clip zangu za zamani kuzisambaza na sasa wanatoa clip za mambo ya uongo kuzisambaza !!

Narudia tuiache mechi ipite kisha tuone nitakayoyasema kama atatokea yoyote miongoni mwao atajibu kitu..

Endeleeni kuwaongopea watu hadi jumapili lakini Wallah hamtaninyamazisha ikifika jumatatu.

Uhai na Majaaliwa ndio ya kuomba


No comments

Powered by Blogger.