Header Ads

Header ADS

Billnass Yamemfika Pabaya "Wanaume Tafuteni Pesa Kwanza Hawa Wanawake Wana Nyodo Sana"




Billnass amesema; “Jamani naombeni sana wanaume tutafute pesa kwanza. Hawa wanawake wana nyodo sana kama wakikuzidi pesa. Mimi yamenikuta, nimeamua kujiweka pembeni kwa sasa I’M SINGLE NOW…”


No comments

Powered by Blogger.