Header Ads

Header ADS

Barakoa Lazima Mechi ya Simba na Yanga Kigoma



Katika kupambana na maambukizi ya #COVID19, watakao ruhusiwa kuingia Uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma ni Mashabiki 17,000

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema kila atakayeingia uwanjani lazima awe amevaa barakoa na kutakuwa na mapipa ya maji nje ya uwanja ili wanaoingia wanawe mikono



No comments

Powered by Blogger.