Header Ads

Header ADS

Nikk wa Pili Ateuliwa Kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe




Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Nickson Simon John maarufu kama Nikk wa Pili @nikkwapili ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe



No comments

Powered by Blogger.