Header Ads

Header ADS

Ridhiwani Kitwete Ajitokeza na Kusem Haya "Mzee Kikwete Yupo Salama"



Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekanusha taarifa za sintofahamu zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii zikimhusishia baba yake mzazi na rais mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa amefariki dunia.


“Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa.”




No comments

Powered by Blogger.