Siku chache baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuufungia wimbo wa ‘Mama’ wa msanii Emmanuel Elibariki maarufu Ney wa Mitego, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) limelaani kitendo hicho kwa madai kuwa ni kuvunja Katiba kwa kuingilia uhuru wa msanii huyo katika kutoa maoni yake
No comments