Shilole athibitisha kufunga ndoa na mpenzi wake Rommy 3D
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Shilole ameandika ujumbe huu huku akiambatanisha na picha ikimuonyesha akishikwa kichwa na mume wake huyo Rommy 3D:-
“Alhamdulillah tumemaliza salama
Officially Husband and Wife
Happily Taken and very much in Love
Kwasasa unaweza kuniita Mrs Rajab Issa (Rommy)
Yarabbi Iwe Salama”
No comments