Header Ads

Header ADS

Mnalinganisha Magufuli na Samia, hawa watu ni kitu kimoja – Rais Samia Suluhu

 
“Inasikitisha sana kuona watu wanapiga ngoma mitandaoni lakini inachezwa bungeni, mnalinganisha Magufuli na Samia hawa watu ni kitu kimoja,” Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Maombi ya kuombea Taifa na kumshukuru Mungu kwa maisha ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
 


No comments

Powered by Blogger.