David Urassa maarufu kama Ibiza Boy, amefariki dunia Alfajiri ya Aprili 18, 2021, kwa ajali ya gari maeneo ya Kinondoni Dar es salaam. Ibiza Boy alikuwa ni miongoni mwa waburudishaji kupitia kipindi cha #FridayNightLive cha EATV
No comments