Header Ads

Header ADS

Diamond Platnumz Kukiwasha Jukwaa Moja na Chriss Brown


Nyota wa Muziki nchini, msanii @diamondplatnumz anatarajiwa kutumbuiza katika tamasha kubwa la kimataifa duniani liitwalo "Afronation" nchini Ureno, Julai 1, 2 na 3 mwaka huu.

Mbali na Diamond, #Afronation pia litawakutanisha wasanii wakubwa barani Afrika na duniani kwa ujumla kama vile, Rick Ross, Megan Thee Stallion, Davido, Burna Boy, Wizkid, Koffee, Yemi Alade, Sauti Sol, Innoss B, Mavado, Weekend, Bernie Man na wengine wengi.

Tamasha hilo pia litakuwa na ‘special appearance’ za watu maarufu.



No comments

Powered by Blogger.