Header Ads

Header ADS

VIDEO: Msolla aeleza kilichomuondoa Kaze, Mwambusi kocha Yanga

 


Leo Machi 9 Mwenyekiti wa klabu ya Yanga amemtangaza Juma Mwambusi kuwa kocha wa muda ambapo atakaimu majukumu ya ufundi mpaka atakapopatikana Kocha mpya.

Ikumbukwe kuwa Kocha Mwambusi aliondoka Yanga muda mfupi baada ya kumalizika kombe la mapinduzi Zanzibar ambapo alitangaza kuondoka kutokana na matatizo ya kiafya na kuiacha timu ikiongoza ligi baada ya kucheza mechi 18 bila ya kupoteza.

VIDEO:




No comments

Powered by Blogger.