Header Ads

Header ADS

Mama na mwanaye wakutwa wamekufa gesti




 
Tuesday March 02 2021
mama mtoto pic
Irene Lyimo (21) mkazi wa  kata ya Kilema  Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa mwaka mmoja wamekutwa wamekufa katika nyumba ya kulala wageni, kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Ronald Makona amethibitisha.


No comments

Powered by Blogger.